HUYU NDIO MZAZI WA VICOBA(VILLAGE COMMUNITY BANK)
VICOBA NI NINI??
Vicoba(village community bank) ni benki za kijiji zilizoanzishwa na watu kuanzia 15 mpaka 30 kwa lengo la kuweka akiba na kukopeshana kwa riba nafuu ambayo watakuwa wamekubaliana wanachama wenyewe kwa mujibu wa katiba yao. lengo la kuanzisha hizi benki ni kusaidiana ili waweze kupambana na umaskini sambamba na changamoto mbalimbali za kimaisha hasa za kiuchumi na kijamii.
vicoba uendeshwa kwa katiba maalumu kulingana na makubaliano ya wanachama na pia katiba hizo lazima zisajiliwe kwa mujibu wa sheria na kanuni za wizara husika kuanzia ngazi ya kata mpaka wilaya.
MZAZI WA VICOBA
"UPATU" ndio mzazi wa VICOBA(village community bank). Upatu ni mchezo unaotumiwa na watu mbalimbali kuchangiana fedha kisha baada ya fulani hizo fedha anapewa mtu na kuanza kuchangiana tena kwa ajili ya kupewa mtu mwingine kwa maana hizo fedha zinazochangishwa utolewa kwa mzunguko ili kilaaliyechangia lazima apate. lengo kuu la mchezo huu wa upatu ni kusaidiana na kuwezeshana ili kila mmoja aweze kupambana na changamoto za kimaisha hususani za kiuchumi na kijamii.
KWANINI UPATU NDIO MZAZI WA VICOBA??
Upatu ni mzazi wa vicoba kwa sababu mfumo uliotumika kuendesha mchezo wa upatu hauna tofauti kubwa na mfumo unaotumika kuendesha kuendesha vicoba ingawaje kuna vitu vimeboreshwa zaidi katika vicoba kama vile uwepo wa riba,mkopo,jamii,ada ya mwanachama na vingine vingi. Na pia miongoni mwa vitu vinavyofanana ni kama vifuatavyo;
i.kuweka akiba, kwenye upatu kitendo cha kumchangia mwenzio pesa ndio kuweka kwako akiba maana zamu yako ikifika utapokea pesa sawa na kiwango ulichochanga na katika vicoba kitendo cha kununua hisa ndio kuweka kwako akiba.
ii.kuhifadhi pesa, wote kwa pamoja wanahifadhi pesa zao katika vibubu ili iwe rahisi kutekeleza majukumu yao kwa wakati hususani ya kutoa pesa kwa wanachama ili wakazalishe zaidi.
iii.kuvunja kibubu, kila ifikapo mwisho wa mwaka vicoba vilivyo vingi huwa wanavunja kibubu na kugawana fedha zilizokuwepo na ikumbukwe kuwa riba,jamii na maafa ndio inagawanywa kiwango sawa kwa kila mmoja na katika upatu kibubu uvunjwa pindi tu pale fedha inapotolewa kwa ajili ya kupewa mtu.
MWISHO
Serikali kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali kama CARE International na mengine mengi wakaurasimisha mfumo wa vicoba utumike badala ya ule wa upatu. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kunakuwa na ulinzi pamoja na usalama wa pesa za wanachama sambamba na kumpatia kila mmoja fursa ya kupata huduma za kibenki kwa maendeleo ya taifa na yake binafsi. Hivyo ni vema kama kuna watu bado wanacheza mchezo wa upatu wakajiunga katika mfumo wa vicoba kwa ajili ya manufaa yao ya kiuchumi na kijamii.

Great broh
JibuFutathanks broh
JibuFutaPESA/UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI
JibuFutaMPAKA MASAA 48(SIKU 2) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
HIZI NI DAWA NA MUDA WA UKAMILIFU WAKE NA KUKUKABIDHI
MAJINI ZIPO AINA 3
1. GHUUL(chma ulete)....Siku 5
2.SAIFRAHAN(Jini wa kufuga)...Siku 6 n.k
3.SAIFRAHA(jini wa bahati)....masaa 24
NDAGU ZIPO AINA 6
1.MTU.....week 1 na nusu
2.MIMBA....siku 5
3.UTASA....masaa 72(siku tatu)
4.ULEMAVU....siku tano
5.NDUGU WATATU...siku sita
6.WANYAMA.....masaa 48
KARIBU UPATE UFAFANUZI UCHAGUE UIPENDAYO KILA MOJA NA MASHARTI YAKE.
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI
NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
@highlight @highlight Following TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA KENYANS LIVING IN USA 🇺🇲🇬🇧 KENYA BUSINESS NETWORK @highlight Watowaji Pesa Za Majini Everyone Products Your Friend.
PIGA SIMU/Whatsup +255 742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA SIMU KUEPUKA MATAPELI