NAMNA YA KUNUFAIKA KUPITIA MICRO FINANCE INSTITUTIONS(TAASISI ZA FEDHA ZINAZOTOA HUDUMA ZA KIBENKI) Kuna manufaha mengi sana tunayoweza kupata pindi tu tutakapoamua kujikita sawa sawa katika kutumia hizi taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki. Na manufaha hayo tunaweza kuyapata kwa sababu idadi ya watu walio wengi wanaamini kuwa micro finance(taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki) ni mkombozi wao kwa namna moja ama nyingine kuelekea kutimiza malengo yao na kuijenga kesho yao hapa chini ya jua. Hivo manufaha mengi tunayoweza kuyapata kwa kiwango kikubwa yanachagizwa mno na huduma za kibenki zinazotolewa na taasisi hizo za fedha yaaani micro finance. Kwahiyo kupitia huduma za kibenki zifuatazo zinapelekea sisi watumiaji tunufaike au tupate manufaha. 1. Tunaweza kunufaika kwa kupata mkopo (loans access) mara nyingi mkopo huu unakuwa rahisi kwa sababu ya kuwepo na kiwango kidogo cha riba ambacho kwa mtu yoyote atakapoenda kuomba na kupata anaweza...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

VIJUE VYANZO VYA MITAJI KWA AJILI YA MICRO FINANCE INSTITUTIONS. Ikumbukwe kuwa kuna micro finance institutions( taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki) nyingi sana na miongoni mwa hizo taasisi za fedha ni saccos(saving and credits cooperatives), vicoba( village community bank),FINCA, pride na nyingine nyingi. Lengo kubwa la kuanzisha hizi taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki ni kufikia watu wote ambao hawana sifa za kupata huduma za kibenki katika mabenki ya kibiashara. Na hizi taasisi zinazotoa huduma za kibenki zikaenda mbali sana kwa kuboresha huduma zao ambazo zinampa mtu yoyote fursa ya kujiandalia kesho yake hususani katika kupambana kujikwamua na umaskini. Sasa ili hizi taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki ziweze kujiendesha kwa kutoa huduma za kibenki kwa kila mtu lazima iwe na mtaji wa kutosha utakaowawezesha kujiendesha kwa uzuri ili mwisho wa siku iweze kuwa na tija kwa namna moja ama nyingine. Vifuatavyo ni vyanzo ambavyo hizi m...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Fursa ya kibiashara na kujiendeleza kwa taasisi zinazotoa huduma za kibenki nchini Tanzania(micro finance institutions)... Baada ya benki kuu ya Tanzania(B.O.T) kutangaza kuwa itapunguza kiwango cha riba kwa mabenki ya kibiashara mpaka kufikia asilimia kumi na moja(11%) imetafsiliwa kuwa ni fursa kwa taasisi zote za fedha zinazotoa huduma za kibenki kujipambanua zaidi katika kutoa huduma zao kwa watu wa hali ya chini na wasio kuwa na sifa ya kupata huduma za kibenki katika mabenki ya kibiashara kwa kuboresha huduma zao hususani kwa kuweka masharti ambayo kila mmoja ataweza kuyamudu kwa nafasi yake kwa sababu kwa sasa taasisi hizo za kifedha zitowazo huduma za kibenki zitakuwa zinapata mitaji yake ya kujiendesha zenyewe kwa riba nafuu mno toka katika mabenki ya kibiashara kwa sababu watakuwa na uwezo wa kurejesha hizo pesa baada ya kuziingiza katika mzunguko na kuzalisha. Hivo ni vizuri kwa taasisi zote za fedha zinazotoa huduma za kibenki kujisajili na kufuata sheria sambamb...
Maana ya microfinance institutions(taasisi za fedha zinazotoa huduma za kibenki), imeandaliwa na Florian Lisso
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Micro finance institutions ni asasi ndogo ndogo zote za kifedha ambazo zimejikita hasa kutoa huduma za kibenki kwa watu wenye hali duni ya kimaisha ili waweze kutatua changamoto zinazowakabili katika maisha yao. Miongoni mwa hizo huduma za kibenki zinazotolewa na hizo taasisi za fedha ni huduma za mikopo(loans), huduma ya kuweka akiba(savings), kuhamisha pesa toka sehemu moja kwenda nyingine(funds transfer) sambamba na kupata huduma za bima(insurance). Mfano wa Asasi ndogo ndogo za kifedha ni saccos, vicoba, finca, pride na nyingine nyingi. Huduma za hizi asasi ndogo ndogo za kifedha hutolewa kwa lengo la kuwafikia watu ambao hawana sifa na vigezo za kupata huduma katika mabenki ya kibiashara kulingana na uwepo wa kanuni na taratibu zinazoaminika kuwa ni ngumu kwa wateja. Hizi asasi ndogo ndogo za kifedha zina umuhimu na msaada mkubwa kwa watu hasa wale wenye hali duni ya kimaisha. Dhumuni kuu la hizi asasi ndogo ndogo za kifedha ni kutoa huduma za kibenki kwa watu ambao haw...